Saturday, June 12, 2010

Couple walionifungulia Blog















Mr.and Mrs Ally wakiwa katika pozi.
wapendanao hawa wanatarajia kufunga pingu za maisha hivi karibuni mwaka huu mungu akipenda.
kwani mahari tayari na vikao vya harusi vimeshaanza.
mimi sioni tabu kuwapa jina la Mr and Mrs kwani kwa sisi waafrika mahali ndo tayari ushapata mwana.. Jamani nasema hongereni sana na mmefanana sijui kijacho atafananaje kwani baba na mama ni kama dada na kaka yaani walozaliwa tumbo moja je akitoka mtoto? mi sisemi ntasema kesho mungu awabariki sana amina.

No comments:

Post a Comment