Saturday, July 31, 2010

ALL THE BEST BABA!MY GOD BE WITH YOU

Namtakia kila la kheri baba yangu Mzee Shekoloa katika mbio zake za kuwania Ubunge wa Jimbo la Mlalo kupitia CCM. All the best baba, hapa nipo na mu naamini na dua zake zitasaidia pia.

No comments:

Post a Comment