Sunday, July 18, 2010

HISTORIA YA MAISHA YANGU KATIKA PICHA!




















Hapa nikiwa na mke wangu na mtoto wetu Ally.














Kutoka kushoto ni mdogo wangu Salehe, mimi, mke na mtoto na mfanyakazi wetu.














Hapa niko na Rafiki yangu wa long time ambaye ni mwandishi, Kulwa Magwa.




















Niko kijijini kwetu Mlalo.














Mwenye fulana ya bluu ni mimi nikiwa na washikaji zangu tukipiga daiwaka kitaa.














Rafiki yangu Muingereza ambaye amekuwa akinisaidia sana katika maisha yangu, OliviaSelbie.




















Baba yangu, Mzee Sufian Shekoloa akinipongeza baada ya kupata Stashahada yangu ya Juu ya uandishi wa habari (Advanced Diploma in Jounalism) niliyoipata UDSM.














Marafiki zangu tuliograduate nao, kuanzia kushoto ni Gaston,Judica, mimi,Ernest na Adam.




















Enzi hizo nikiwa mwalimu wa History na English katika shule ya sekondari Mlalo baada ya kumaliza kidato cha sita.




















Hapa niko na mshikaji wangu Yahaya Nawanda nikiwa kidato cha 5 Ununio Boys Islamic




















Niko class nikiwa kidato cha sita.Kushoto ni Haidar, Nawanda na mimi.




















Baada ya kuhitimu kidato cha nne. Pembeni ni Mr&Mrs Barakati walimu wangu ambao wamenisaidia sana katika mafanikio yangu.




















Nilipohitimu kidato cha nne. Kushoto ni mama yangu mdogo Rahima Moh'd na kulia ni mpenzi wangu wa kwanza katika maisha yangu, Farida Kudra akinivalisha maua.




















Mama yangu mzazi Rukia Rajabu (kulia) akiwa na mama mkubwa siku ya mahafali yangu ya kidato cha nne















Hapa ni siku ya mwisho shuleni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha 4 Mlalo sekondari mwaka 1996.




















Nilikuwa mhudhuriaji mzuri sana wa madrasa. Kulia ni mdogo wangu Zayumba muda mfupi kabla ya kwenda chuoni.














Katikati ambaye hajavaa viatu ni mimi enzi hizo niko darasa la tatu na kulia ni wadogo zangu mapacha Sefu na Zayumba.Wa kwanza kushoto ni dada yangu Zena na anayefuatia ni kaka yangu Karimu.


No comments:

Post a Comment