Sunday, August 29, 2010

MY TRUELLY FRIENDS!

Kushoto ni Ally Abdallah,anayefuata ni Hamida Hassan na huyo hapo pembeni ni Zekaima. Hapa ilikuwa ni siku ya birthday ya mshikaji wetu anayeitwa Shaluwa maeneo ya Sinza Makaburini jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment