Thursday, August 12, 2010

PATI YA UZINDUZI WA CLOUDS TV KUJUMUISHA VIPINDI NA MUZIKI KUTOKA KITUO CHA MTV BASE, NILIWAKILISHA!


Mkurugenzi wa Clouds TV, Joseph Kusaga akijiandaa kutoa speech kwa wageni waalikwa,alinifurahisha kwa kitu kimoja tu 'his pose'.
Umati wa watu waliohudhuria pati hiyo,ilikuwa full kujiachia yani.

Mastaa Madam Ritta, Master J na Gadiner wakimshangilia Nature alipokuwa akitoa burudani


Hapa nikiwa na mwandishi mwenzangu Hamida Hassan 'Sister Doi' tukifuatila jambo. Hiyo bia siyo yangu jamani ni ya mwandishi mwenzangu tuliyekuwa naye. Mimi nilikunywa malta tu na mwenzangu hapo pembeni akapata juice yake safi ya passion.

Meneja wetu, Abdallah Mrisho akitupa maelekezo kwani tulikuwa kikazi zaidi.

No comments:

Post a Comment