Sunday, June 13, 2010

HAPPY NETHDEI YA KUZALIWA MWANANGU ALLY















Hivi karibuni, Aprili 4, mwaka huu mwanangu alitimiza mwaka mmoja, sherehe hiyo ilifanyika Buza jijini Dar es Sa Salaam. Hakika ilikuwa ni zaidi ya ‘birthday party’.

Zaidi ya yote niseme tu kwamba, nampenda sana baby boy wangu huyu, ananipa heshima, amenifanya niitwe Baba Ally kitu ambacho kuna baadhi ya wanaume wanakihangaikia bila mafanikio. Namshukuru Mungu na kwa hilo nitafanya kila niwezalo kumuandalia maisha mazuri ya baade, MUNGU NISAIDIE!


No comments:

Post a Comment