Sunday, June 13, 2010

MAMBO YALIKUWA HIVI




















Hapa akisaidiwa na mama yake kumlisha keki Mjomba wake aitwaye Danny kwa kutumia mkono. Ilikuwa shughuli pevu




















Mshikaji wangu wa ukweli Ally Abdallah ambaye ni wajina wa mwanangu alikuwepo akiwa ameambatana na 'mai waifu' wake Zai.



















Hapa akimlisha ibi yake mdogo.

No comments:

Post a Comment