![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaLPlMCpHIS1Kcg17RaoLlb_BwlWyYTgj-zCI5Gi4I22MZkb7nmdmpOLX_41Zx-JJLFJJeZQQYSvT3TsIvpBVNyJbHslH9IJLA_yM8Tz4dVrjqpPVUunRsngB9fBzLB21U3d-Mkk7pcWvf/s320/3.jpg)
Ilikuwa siku ya Jumanne siku ambayo mara nyingi huwa nachelewa kurudi nyumbani kutokana na kazi nyingi. Majira ya saa tano usiku, ‘mai waifu’ wangu akanipigia simu na kuniambia yuko nje ya ofisi, sikuamini macho yangu kuwaona yeye na mwanangu wakiwa na furaha lakini wakaniambia eti wamenifanyia SURPRISE!
Niliwachukua na kuwaingiza ofisini kwa mara ya kwanza na kufanikiwa kupiga nao picha mbili tatu za ukumbusho! Ilikuwa siku nzuri kwetu!!!
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9ok_TqsSz1f_WqSZ3xhcZm3j_LN7Rkd6GkFnrDVRIll2Oz-4NhfWDdRuggboWH4CILPSw7Go0DbFN2bvKOQptLUuWjLulIVBDjFyu03HfnFkfMtlEWagDpGZz4fEiFOr-GzcjWEMOgdo1/s320/2.jpg)
Dogo alifanya vurugu za kufa mtu huku akiwa na soksi moja tu, mara kapanda kwenye kompyuta, mara kwenye kiti cha kuzunguka, ilikuwa ni full kujiacha wala hakujali kuwa muda huo ilikuwa awe amelala.
No comments:
Post a Comment